Search in This Blog

AJALI MBAYA SANA YATOKEA ENEO LA MBOGA KARIBU NA CHALINZE

Basi aina ya Coaster likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali hiyo.(Picha na Audiface Jackson)
GARI la mizigo lililokuwa mwendo wa kasi kutokea Dar Es Salaam kuelekea Tanga liligongana uso kwa uso na kosta iliotokea Arusha kuelekea Dar Es Salaam. 
Kwa mbali ni konda aliyeteguka kiuno, na huyu hapa ni mama aliyevunjika mguu katika ajali hiyo iiyotokea maeneo ya Chalinze
 Polisi wakiwa eneo la tukio
 Hili ndo Costa lililopata ajali
 Majeruhi wa ajali hiyo

Vibaka waliokamatwa wakati wakitaka kupora majeruhi wa ajali hiyo

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger