ASKARI MWINGINE AGONGWA AKIONGOZA MSAFARA WA SPIKA WA BUNGE
Majira ya saa tisa alasiri, mtu mmoja
aliyetambuliwa kuwa ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa fedha, IFM,
Ramadhani Abdi amemgonga kwa gari PC Mbanya aliyekuwa akiongoza magari
ya msafara wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, na kusababisha askari huyo
kuvunjika mguu wa kushoto na mkono wa kushoto.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment