Watu kumi na watatu walishtakiwa
kwa kosa la mauaji baada ya jengo walilokuwa wanajenga kuporomoka na
kusabisha vifo vya watu 36.
Watu hao akiwemo mmiliki wa jengo lenyewe Raza
Hussein Ladha, pamoja na wajenzi na wahandisi bado hawajajitetea mbale
ya mahakama hiyo.Wendesha mashtaka walisema kuwa washtakiwa waliwaua watu 24 kinyume na sheria. Ingawa watu 36 waliuawa katika janga hilo, watu wengine 24 wangali kujulikana.
Washtakiwa hao waliwekwa rumande hadi tarehe 16 wakati mahakimu wataamua kuhusu dhamana yao. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa bada ya kuporomoka kwa jengo hilo
No comments:
Post a Comment