Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya
minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiongozwa na
Askari polisi kuingia katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kusikiliza kesi
inayomkabili.
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya
minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiwa katika
Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo.
No comments:
Post a Comment