
Ajali
mbaya imetokea asubuhi hii ikihusisha pikipiki na daladala hii ambazo
zilikutana uso uso lakini Kwa BAHATI nzuri dereva wa pikipiki Hiyo
(mwenye helmet chini) alipona baada ya kuruka kwenye pikipiki na
pikipiki kuharibika vibaya baada ya kukanyagwa na gari. Picha kwa
hisani ya mwanaharakati mzalendo blog. Ajali za aina hii zimekuwa
nyingi mno jijini Dar es salaam na kwengineko kufuatia wimbi kubwa la
bodaboda kila mahali na uendesshaji usiofuata sheria

Balaa asubuhi


Askari wa trafiki wakiwa kazini baada ya ajali hiyo, huku dereva wa pikipiki akisubiri pembeni

Dereva wa pikipiki aliyenusurika

Polisi jamii na wasamaria wema wakijaribu kuinasua pikipiki uvungumi mwa daladala