Search in This Blog

BREAKING NEWS: LWAKATARE AFUTIWA MASHTAKA YA UGAIDI

Habari tulizozipokea hivi punde ni kwamba, mahakama Kuu imemfutia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA),Wilfred Lwakatare(Pichani juu), mashtaka yote ya ugaidi, na imerudisha shtaka moja la utekaji(kidnapping) Mahakama ya Kisutu na pamoja nasuala la dhamana.

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia blog hii
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger