Search in This Blog

BREAKING NEWS: MADEREVA WA DALADALA WAGOMA

daladala imc e75bd
Wananchi wakisubiri daladala bila matumaini yoyote kufuatia mgomo asubuhi hii, Mwang'ingo, Manispaa ya Iringa

MGOMO  wa  daladala katika Manispaa ya Iringa umeanza asubuhi hii katika eneo la Mwang'ingo, kwa  madereva na   wamiliki   wa  daladala kudai  kuchoshwa na manyanyaso ya SUMATRA mkoa  wa  Iringa.
Mgomo huo umekuja   kutokana na kuchukizwa  uamuzi  wa Sumatra  mkoa  wa Iringa  kufuta  stendi ya  posta pamoja na  kuzuia daladala  kukaa kwa muda  eneo la stendi ya  daladala  ya Miyomboni.

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger