Search in This Blog

RAISI AZINDUA GAZETI JIPYA

Rais Jakaya Kikwete Azindua Rasmi Gazeti la Mfanyakazi Wakati Wa Kilele Cha Sherehe ya Sikukuu ya Wafanyakazi,Mei Mosi Zilizofanyika Kitaifa Katika Uwanja wa Michezo wa Sokoine Mkoani Mbeya.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Gazeti la Mfanyakazi wakati wa kilele cha Sherehe ya Sikukuu ya Wafanyakazi,Mei mosi zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa michezo wa Sokoine mkoani Mbeya.kushoto ni Kaimu Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Bi.Nortiburga Maskini na kulia ni Katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ndugu Nicholaus Mgaya.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger