Search in This Blog

TASWIRA ZA MAZISHI YA WATU WATATU WALIOKUFA KWA BOMU ARUSHA ZAZIKWA

  Miili ya waliopoteza maisha katika katika mlipuko wa bomu uliotokea hivi karibuni katika kanisa la Mt.Joseph Mfanyakazi lililopo Kata ya Olasiti Mkoani Arusha,ikiwa tayari kwa ajili ya mazishi. Ibada ya mazishi imefanyika leo katika kanisa hilo na marehemu wamezikwa kwenye eneo la kanisa hilo.
  Miiili ya waliopoteza maisha katika katika mlipuko wa bomu uliotokea hivi karibuni katika kanisa la Mt.Joseph Mfanyakazi lililopo kata ya Olasiti mkoani Arusha,ikiwa tayari kwa ajili ya mazishi. Picha na Ferdinand Shayo.
  Ndugu wa marehemu wakiweka odongo kwenye makaburi ya wapendwa wao waliokufa
  Wazazi na ndugu wa marehemu wakiweka taji za maua katika makaburi ya ndugu zao waliofariki baada ya kuthuriwa na bomu lililolipuka hivi karibuni katika kanisa la Mt.Joseph Mfanyakazi lililopo kata ya Olasiti mkoani Arusha.Ibada ya mazishi ya watu watatu ilifanyika jana katika kanisa hilo ambapo walizikwa kwenye eneo la kanisa nje kidogo na kanisa
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger