Search in This Blog

WANAFUNZI WA SHULE YA SECONDARI MANZESE ZAIDI YA 30 MUDA HUU WANAANGUKA HOVYO HOVYO

 Wanafunzi wa shule ya sekondari manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo hovyo na kusema a mane no yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.
Cha kujiuliza mbona wanaoanguka ni akina dada tu?
Tupe maoni yako 
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger