Search in This Blog

ALIYEMTISHA RAISI OBAMA AHUKUMIWA

Kijana Aliye tishia kumua Rais Barack Obama kwenye twitter mwaka 2012 Donte Jamar Sims amehukumiwa kwenda jela miezi 6 baada ya kukubali kosa la kutishia maisha ya rais. Donte amekubali kuwa alitumia ukurasa wake wa twitter chini ya jina la Destroy League_D kuandika tishio hilo, Aliandika Hivi kwenye twitter "Ima Assassinate president Obama this evening!" and "The Secret Service is gonna be defenseless once I aim the Assault Rifle at Barack's Forehead."  Kijana huyo mwenye miaka 22 amesema sababu ya kufanya tendo huli ni kwamba alikuwa amelewa sana mihadarati aina ya Marijuana na baada yakuandika hivyo aliomba msamaha.

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger