Search in This Blog

"BOMU LILILOTUMIKA ARUSHA LIMETENGENEZWA CHINA". PINDA

pinda-nassari-arusha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema bomu lililolipuliwa katika mkutano wa Chadema ni la kijeshi na limetengenezwa China. Akizungumza mjini hapa jana, Pinda alisema uchunguzi unaendelea kujua bomu hilo limefikaje kwenye mikono ya waliohusika kwani uzoefu unaonyesha kuwa hutumiwa na wanajeshi kujihami wakiwa katika VITA.



 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger