Search in This Blog

DIAMOND, KALA, LINAH NA WENGINE WENGI KUWASADIA WANAFUNZI KUEPUKA MATOKEO MABAYA MASHULENI.

aWasanii wa kizazi kipya hapa nchini Tanzania wameamua kupanga katika kuhakikisha wanawasaidia wanafunzi kuto pata alama ya zero katika mtihani wao wa mwisho wa Taifa.
Accoding to artist Mwasiti as a coordinator wa huo mpango amesema “kwa kushirikiana na wasanii wenzake kama Diamond,Kala Jeremiah,Maunda Zohro, Keisha,Linah,Peter Msechu,Roma, Stamina na wasanii wengine watahakikisha ujumbe wao unafanikiwa ili wanafunzi waondokane na matokeo mabaya katika masomo yao”.
Pamoja na hayo Julai mwaka huu wanategemea kutoa wimbo wa Tokomeza zero ili kuhamasisha wanafunzi kutambua kile wanachofundishwa na walimu wao darasani”
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger