Search in This Blog

DIMPOZ AENDA MORO KUOMBA MSAMAHA KWA FAMILA YA MAREHEMU MANGWEA.


ommy dimpoz

BAADA   ya  watanzania  kumwandama  Ommy  Dimpoz  kutokana  na  tusi  alomtukana  marehemu  Albert Mangwea,  msanii  huyo  ameamua  kuwapigia  magoti  watanzania  na  kuwasihi  wamsamehe.

Hali  hiyo  imekuuja  baada  ya  watu  mbalimbali  kutangaza  kumsaka  Ommy  kwa  lengo  la  kumwadabisha  kwa  kumpa  kichapo   kikali.

Miongoni  mwa watu  hao  ni  TID ambaye  jana  kupitia  ukurasa  wake  wa  facebook  ametangaza  vita  dhiti  ya  Ommy  Dimpoz.

Hii  ni  post  ya Ommy  ambayo  ameitoa  akiomba  asamehewe  kwa  kauli  zake  na  matusi  aliyoyatoa  kwa  marehemu  Ngwea.
 
Samahani tena sana na sitawacha kuomba msamaha, nimekubali makosa na hivi sasa naelekea nyumbani kwao kuomba msamaha kwa familia na nitue kwa vituo vya radio kuomba msamaha kwa wabongo na wote niliowaudhi. Samahani sana na nakubali mimi si mtu bila nyinyi na sikuongea kuhusu legend Ngweir kwa ila mbaya. One love
 
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger