Search in This Blog

DIVA WA CLOUDS FM HANA CHAKE KWA PREZOO, HUU NDO USHAHIDI.

 
HUDDAH APOKELEWA NA PREZZO >> Jana jioni mrembo Huddah
Manroe aliwasili nchini
Kenya mida ya jioni
akitokea nchini Afrika
Kusini na kama ulikuwa
hufahamu alipokewa katika uwanja wa ndege
na rapper CMB Prezzo!,
nahisi ume ‘wow’ right? Inavyoonekana kile
alichokuwa
anakizungumza Huddah
mjengoni kuhusiana na
Prezzo sasa ameamua
kukitolea uthibitisho kuwa ni wapenzi (kwa mujibu
wa maelezo ya Huddah na
mapokezi hayo) na
kuamua kuwafunga
midomo ‘haters’ kwa
kupiga picha za pamoja wakitokea uwanja wa
ndege . 
Exclusive Images From Huddah Monroe's Press Conference  Baada ya kuwasili uwanja
wa ndege Huddah na
Prezzo walipanda gari moja
na kuelekea walikoelekea!,
na kupiga picha
zinazoonyesha uhai wa mahaba, kama unajua
kusoma ‘body
expressions’ ambazo kama
Huddah angekuwa mpenzi
wa mipasho huenda
angeziwekea caption ya “wenye wivu
wajinyonge’!. Ikiwa ni siku yake ya
kwanza toka awasili Kenya
staa huyo Huddah leo
alikuwa na mkutano na
waandishi wa habari
kwaajili ya kuzungumzia ushiriki wake katika Big
Brother ‘The Chase’ na
kujibu maswali ya
waandishi. Siku ya leo Huddah
ameonekana kuwa
dhabahu inayosakwa na
watu wengi ambao kila
mmoja anataka kuonana
nae. #DIVA LOVENESS UPO..??? 
image_11.jpg
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger