Search in This Blog

HUYU NDO MAMA ALIYELALA KWENYE PAA LA NYUMBA ILI ISIUZWE MBEZI

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Azelina Mrema mkazi wa Mbezi tangi bovu jijini Dar es salaam analala na kushinda juu ya paa la nyumba yake kwa siku ya tano sasa akipinga kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake bila kufuata taratibu na madalali wa benki 

video:

 

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger