Search in This Blog

MAMBO MATATU ATAKAYOYAONGELEA JOKATE NDANI YA MKASI SHOW

Kile kipindi maarufu cha TV cha Mkasi ambacho hurushwa na channel ya EATV, kitaendelea tena season ya pili hivi karibuni na moja ya watu waliopata bahati ya kuhojiwa ndani ya kipindi hicho ni mwanadada Jokate mwengelo (Muigizaji na mjasiriamali) katika season hii mpya.
Bongo movies tulipata nafasi ya kuzungumza na mmoja wa waandaaji wa kipindi hicho kuweza kupata baadhi ya mawili matatu ambayo mlimbwende huyo atayazungumzia. Baadhi ya mambo ambayo dada yetu atafunguka kwenye show hii ni haya yafuatayo.
1. Maendeleo ya kampuni yake ya kidoti toka ilipoanzishwa mpaka sasa
2. Story za maisha yake ya mahusiano na ukweli mzima wa ishu yake na Diamond Platnumz
3. Mipango yake ya baadaye na kampuni yake ya kidoti



 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger