Search in This Blog

MTOTO MCHANGA ATUPWA MAGOMENI, JIJNI DAR

Wakazi wa eneo la Magomeni zilipovunjwa nyumba za kota jijini Dar es salaam wakishuhudia mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa umri wa siku moja akiwa kwenye mfuko na kutupwa na mtu asiejulikana.
Askari Polisi wa kituo cha Magomeni Usalama wakiwa katika eneo hilo ambalo alitupwa mtoto mchanga akiwa amekufa kwa ajili ya kumchukua kumpeleka sehemu husika
Mwili wa Mtoto huyo ukiwa ndani ya gari la Polisi tayari kwa safari ya kwenye sehemu husika.
Wakazi wa maeneo ya jirani na hapo na wale wapita njia wakiwa katika eneo la tukuo
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger