Baada ya kutibuana na Lady Jaydee, Mwana FA ameamua kuvunja ukimya na kuwataka mashabiki wachukulie poa maana ni hali ya kawaida tu katika maisha ya kibinadamu.....
Ugomvi  wa  wasanii  hawa  ulianza  
baada  ya  Mwana  FA  ku re -tweet  post  moja  ya shabiki  wake  
ambayo  ilikuwa  ikiiponda  show  ya  Lady  Jaydee...
Lady  jaydee  alijaribu  kumuonya  mara 
 kadhaa  lakini  FA  hakusikia  na  badala  yake  aliretweet  post  ya  
shabiki  mwingine  ikimponda  Lady  Jaydee....
Uvumilivu  ulimshinda  Lady Jaydee  na  kuamua  kujibu  mashambulizi  kwa  kumuita  Mwana Fatuma  na   na  mengine  mengi.....
Wasikilize  hapo  chini wakifunguka