Search in This Blog

NDINGA YA MDAU WA ENDLESS FAME YA WEMA SEPETU YAPATA AJALI MBAYA, TAZAMA PICHA 10 ZA AJALI HIYO

The same ndinga ambayo walitupia kibendera cha logo ya kampuni ya Wema Sepetu “Endless Fame” wakiwa kwenye safari ya kuelekea Dodoma kwenye launching ya new season ya Clouds FM. Siku chache zilizopita lipata ajali mbaya na mtu aliyekuwa ndani yake alipata majeraha kadhaa..gali hilo ambalo mara nyingi linatumiwa na PetitMan  coordinator wa Endless Fame lakini siku ya ajali hakuwepo ndani yake na aliyekuwa anaendesha ni jamaa anaitwa Robby. Cheki hapo chini picha ya kwanza ikimuonyesha Wema pembeni ya hilo gali na hapo chini baada ya kupata ajali. 1. 1 2. 2 3 4
Picha zaidi hapa
5 gali la wema
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger