Search in This Blog

NIMEENDEWA KWA BABU ALIOPO KWA MSISI MKOANI TANGA

STAA wa sinema za Kibongo, Steve Mangere ‘Steve Nyerere’ ameweka bayana kuwa anahisi amerogwa baada ya kuanza kujisikia vibaya huku akiugua magonjwa ya ajabuajabu na mkono wake wa kulia kuvimba bila sababu za msingi.
 
Steve Mangere ‘Steve Nyerere’.
Akizungumza na MDADISI wetu, Steve alisema kuwa mkono huo umevimba ghafla hali inayompa wasiwasi mkubwa kwa sababu hajajua chanzo chake ndiyo maana anahisi kuwa atakuwa amepigwa ‘kipapai’.
“Mimi nakwambia nitakuwa nimerogwa tu si bure, huu mkono umevimba bila sababu za msingi kwani sijaanguka wala kuumia,’’ alisema Steve
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger