Search in This Blog

PICHA ZATID AKIWA KATIKA KIPINDI CHA SPORAH SHOW HUKO LONDON

Msanii kutoka Tanzania TID ambae kwa sasa yupo katika ziara yake ya kimuziki jijini London, Uingereza ambapo hadi sasa amesha piga show kadhaa katika sehemu tofauti zilizopo nchini humo.
Mpya kutoka TID ni kuwa siku za hivi karibuni alipata mualiko na kufanya mahojiano katika kipindi cha Sporah Show ambacho huandaliwa na kurushwa kutoka nchini Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonyesha mwanamuziki TID alivyokuwa akifanyiwa mahojiano hayo na mtangazaji Sporah….
IMG_1498 IMG_1469 IMG_1505 IMG_1507 IMG_1538
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger