Search in This Blog

PICHA:VURUGU ZA ARUSHA BAADA YA POLISI KUWATAWANYA WANANCHI ENEO LA SOWETO

 


askari wakiwa wameimarisha ulinzi.

 

moshi wa matairi ukiwa umetanda eneo la soweto wakati wa vurugu.


vizuwizi mbalimbali vikiwa vimewekwa barabarani wakati wa vurugu za wananchi na polisi jijini arusha leo.
 

kazi ya ufyatuaji wa mabomu ulikuwa hivi.
moshi wa matairi ukiwa umetanda eneo la soweto wakati wa vurugu
VIZIWIZI MBALIMBALI VIKIWA VIMEWEKWA BARABARANI WAKATI WA VURUGU ZA WANANCHI NA POLISI JIJINI ARUSHA LEO.MOTO UKIWA UNAWAKA KATIKATI YA BARABARA WAKATI WA VURUGU HIZOKUNDI LA WANANCHI WAKIWA KATIKA BARABARA WAKIANDAMANA KUPINGA JAMBO KATIKA VURUGU HIZO.WASAMALIA WEMA WAKIMSAIDIA MTOTO BAADA YA KUTOKA VURUGU HUKU NYUMA YAO KUKIWA NA KUNDI KUBWA LA ASKARI.Sehemu ya umati wa waombolezaji wa wahanga wa mlipuko wa bomu wakiwa katika viwanja vya Soweto mjini Arusha wakiwa kwenye maombolezo muda mfupi kabla ya polisi kuwatawanya na kuwapiga mabomu ambapo inadaiwa kuwa watu wawili wamepoteza maisha na majeruhi wasiojulikana huku wabunge wawili wakidaiwa kushikiliwa na jeshi la polisi akiwemo Mh Tindu Lissu na Mh Mustapha Akoonay kutokana na vurugu hizo.
Mhe. Tundu Lissu
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger