Search in This Blog

RATIBA KAMILI YA MAZISHI YA LANGA

Mwili wa rapper Langa Kileo aliyefariki dunia wiki iliyopita, unatarajiwa kuagwa leo nyumbani kwao Mikocheni, Dar es Salaam.
389987_10152951957360525_557808887_n
Kwa mujibu wa ratiba ya mazishi iliyotolewa, mwili wake ulidaiwa utawasili nyumbani asubuhi na heshima za mwisho kuanza kutolewa saa saba hadi saa nane. Baada ya hapo utapelekwa kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni. Hii ndio ratiba kamili 

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger