Search in This Blog

SAMAHANI KWA PICHA:AJALI MBAYA YATOKEA CHUMA ROAD, MWENDESHA BODABODA AFARIKI PAPO HAPO


Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka! Na Simba plastiki
 Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi roar na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,na asilimia mia dereva kafanya dharau saaana,maana alipinda gari ikiwa kwenye speed kubwa sana





 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger