Search in This Blog

SHOW YANGU ITAFANYIKA LAKINI LANGA ATAPEWA NAFASI YAKE MAALUMU

Ikiwa ni masaa kadhaa tu yamebaki kwa shoo ya Lady Jay Dee kufanyika,mwenyekiti  wa Team Anaconda amefunguka na kusema "show itafanyika kama ilivyopangwa ila tutakuwa na tukio la kumuenzi Langa kwa mchango wake kwenye muziki huu wa tanzania hivyo mashabiki wafike kwa wingi pale pale nyumbani lounge ratiba ipo vilevile"
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger