Search in This Blog

VIDEO: FEZA KESSY WA TANZANIA AKIMUOGESHA MSHIRIKI WA ZIMBABWE ( HAKEEM) NDANI YA BBA


Video hizi  hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo....



Wahiriki wote wa big brother wanajua  ya  kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na kumwanika hadharani....



Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo...



Hakeem

Huyu ni mshiriki toka zimbabwe aliyepata bahati ya kuoga na dada yetu Feza ndani ya bafu moja 



Feza

 Huyu ni mshiriki toka Tanzania....Yuko ndani ya afu moja akioga na mshiriki  wa Zimbabwe.....



Dakika chache baada ya kila mmoja kuoga kivyake,Hakeem anaamua kumuomba Feza amsugue mgongoni....


Video iko hapo chini....Kuitazama ni shart uwe mtu mzima
video

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger