Search in This Blog

VIDEO: MTU AKINGOLEWA MENO KIKATILI


Pengine umewahi kusisimka mwili kwa kusoma habari ama kuhadithiwa taarifa za watu kufanyiwa ukatili wa kupigwa, kutobolewa macho, kung'olewa kucha, kupigwa viwiko vya viungo vya mwili na pengine maumivu makali kuliko yote, ni yale ya jino, halafu ling'olewe bila ya kutumia dawa ya aina yoyote ile ya ganzi. 



Jaribu  kuvuta  taswira  ya  watanzania  waliowahi  tekwa  na  kunyofolewa  macho  na  meno.



VIDEO:

 
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger