Search in This Blog

VIDEO: MWANAMKE ABAKWA NA KUZIKWA AKIWA MZIMA.

Matukio ya kikatili  yameendelea  kutikisa nchini Nigeria  baada ya mwanamke  mmoja  kubakwa  na  kuzikwa  akiwa  mzima....
 


Taarifa  toka  katika mitandao ya kinigeria zinadai kuwa mwanamke huyo alibakwa  na kisha wabakaji wakamfunga miguu na mikono.....
 

Zoezi la  kumfukua likiendelea.....

   

Mwili wa dada huyo ukifukuliwa

  

Mwili umekwisha fukuliwa, bahati mbaya dada huyo amekwisha fariki....



 Baada ya kumfunga,Mashetani hao walichimba shimbo porini walikotekeleza unyama huo na kisha kumzika akiwa hai ili kuficha ushahidi.....



Jeshi la polisi nchini humo lilifanikiwa kuipata habari hiyo masaa 12 baada ya mwanamke huyo kuzikwa akiwa hai....



Zoezi la kumfukua dada huyo lilianza, lakini bahati mbaya dada huyo alikuwa  amekwisha fariki 


Ifuatayo ni  video ya tukio hilo....KAMA HUNA MOYO WA KIJASIRI USIANGALIE USIANGALIE
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger