Search in This Blog

IDD AZZAN" NIPIGWE RISASI NIKIGUNDULIKA NAJIUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA"


Baada ya Barua iliyosambaa mtandaoni ikimtaja Mbunge Iddi Azzan kuwa ni mmoja wa wauza Madawa ya kulevya ..Amejitokeza na kujipeleka polisi Mara mbili ili wamchunguze , katika mahojiano yake na kituo kimoja cha TV amesema kuwa yeye hausiki katika biashara hiyo bali ni watu wanao mchafua ili aangukie kisiasa..pia amesema kuwa endapo itabainika kuwa anausika yupo tayari kupigwa Risasi au kunyongwa.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger