MSANII
nguli wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' akifanya mazoezi The Atriums
Hotel kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wa ndondi kati yake na Mbunge
wa Kinondoni, Idd Azzan utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam, Julai 7 mwaka huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini