mfano
lshu ya Diamond na Uwoya kunaswa hotelini na mapaparazi jamii
inayowatazama inawasomaje kimaisha wakati sisi wasanii ni kioo cha jamii
siku hizi watu wako bize na na maisha na sio mambo hayo ya kitoto kwani
dunia ya sasa magonjwa ni mengi hivyo kitendo cha kubadilisha wapenzi
kila kukicha ni hatari pia kwa afya yako mimi natoa soma kwa wasanii
wenzangu tujiheshimu ili tuheshimike"alisema Mbutu kwa hisia kali.huku
akiongeza kusema
" Nashukuru kwa upande wetu wa sanii wa muziki wa dani
sekendo hizo za ngono sio kubwa kama ilivyo kwa wenzetu wa bongofleva na
bongomovie"alisema luiza ambaye kiukweli licha ya kuwepo kwenye fani
hiyo ya muziki wa danisi kwa muda mrefu hajaingia kwenye skendo yoyote
mbaya pia Ruiza ni miongoni mwa wanamuziki wachache wasio na tamaa ya
kuhama hama bendi kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii wengine jambo
lililopeleka kudumu kwenye cheo chake cha ukiranja mkuu wa bendi hiyo
kwa muda mrefu sasa.
Siku za hivi karibuni msanii kiwango cha juu kwa sasa Afrika
Mashariki na kati Nasibu Abdul'Diamond Platnumz' alinaswa hotel usiku
wa manane na mapaparazi wa kampuni wa Global Publishers akiwa na
mwigizaji nyota wa filam za kibongo lrene Uwoya ambaye ni mke wa mtu
wakila raha ndani ya hotel hiyo iliyopo kando kando ya ufukwe wa bahari
ya hindi jijini Dar es salaam.