Baada
ya mtandao huu kutupia picha ya paja la wema sepetu na
kuelezea jinsi lilivyoharibiwa na MIKOROGO, wadau mbali mbali
wamekuwa wakitoa maoni yao na kudai kuwa Ngozi ya paja hilo
sasa haina tofauti na ngozi ya kiti moto ( ngurume)
Wema
Sepetu ni miongoni mwa wasanii walioathiriwa sana na
Mikorogo.Matumizi ya madawa ya kujichubua yamemfanya msanii huyu
maarufu nchini aharibike ikilinganishwa na jinsi alivyokuwa
mwaka 2006 wakati aliponyakua taji la Miss Tanzania....
Athari za madawa hayo zilianzia mapajani na sasa zimekuwa zikipanda juu kuelekea usoni...
"Nimeshangaa
sana kuliona paja la Wema.Ivi ni kwa nini anakubali kupiga
picha kama hiyo wakati anajijua tayari keshakuwa kituko.?? Paja
gani hilo? Linatofauti gani na ngozi ya nguruwe???"...Alifunguka mdau mmoja alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu
TAHADHARI, Mkorogo ni hatari kwa afya yako. Uzuri wa mwanamke si sura bali ni tabia