Search in This Blog

SAUMU INAMFANYA MTU KUWA MKWELI VITENDO VYAKE.

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQ6n2ybZQ3mqskefdeyPFoiriFf9GUsERGtNTqCHNns0CQOw8GP
 KUFUNGA SAUMU KUNAMFANYA MTU KUWA MKWELI.
na mwaminifu katika vitendo vyake, kwani funga ni ibada ya siri iliyo baina ya mja, na Muum
ba wake, na hakuna anaeweza kujua ikiwa mtu kafunga, au hakufunga.

Kama vile alivyo kuwa mkweli katika saumu yake, basi itampelekea kuwa mkweli katika vitendo vyake mengine, kwani kusudio na lengo la vitendo vyote ni
moja tu, nalo ni kumcha Mwenyezi Mungu na
kutafuta radhi Zake ili vitendo vyake viweze ukubaliwa,
na kuepushwa na moto wa jahanam na kupelekwa Peponi.

Maana yake, “Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi
Mungu na kuweni pamoja na wakweli.” Na fadhila za
ukweli ni kuingizwa peponi. 
Kutoka kwa Ibn Masoud R.A.A. kasema, "Kasema
Mtume S.A.W.21 Kasema Mwenyezi Mungu S.W.T. katika
Surat AT-Tawba aya ya 119 kuhusu kuwa mkweli,

Saumu inamuondolea mtu maradhi. Imethibiti kutoka kwa madaktari wa kileo kuwa funga inaondoa maradhi mengi katika mwili wa mwanaadamu, ambayo yameambatana na uzito wake.

Kama vile maradhi ya mapigo ya moyo, kuvimba moyo, maumivu ya mwili, na maradhi mengi mengineyo. 
Hadithi iliyotolewa na Abu Ubeida iliyonasibishwa na Mtume S.A.W. kasema, "Kasema Mtume S.A.W.22, “Saumu inamzuia mtu na matamanio yake.

Saumu inamzuia mtu na matamanio yake, ambayo huwa ni ushawishi wa sheitani aliye laaniwa. 
Kasema Mtume S.A.W. kuwa nahisi vijana wasioweza
kuoa, kufunga ili kukata matamanio yao.
Hadithi ya Alqama kasema19. “Kasema Mtume S.A.W.

SAUMU INAMUONDOLEWA MTU MARADHAU.
Imethibiti kutoka kwa madaktari wa kileo kuwa funga
inaondoa maradhi mengi katika mwili wa mwanaadamu, ambayo yameambatana na uzito wake.

Kama vile maradhi ya mapigo ya moyo, kuvimba
moyo, maumivu ya mwili, na maradhi mengi mengineyo.

Hadithi iliyotolewa na Abu Ubeida iliyonasibishwa na Mtume S.A.W. kasema, "Kasema Mtume S.A.W.22 اMaana yake,"Salini mtashinda, toeni zaka mtafaulu, na fungeni saumu mtapata afya, na safirini mpate kutajirika.” 22 Al-Imamu Al Rabi`u 1/122 (291)
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger