Hatimaye mwadadada Wastara Sajuki amerejea tena kwenye ulimwengu wa
filamu baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye tasnia hii kutokana na
matatizo aliyoyapata ya kuondokewa na mumewe Juma Kilowoko (Sajuki)
mnamo mwezi wa January mwaka huu.
Akizungumza katika utengenezaji wa Filamu yake mpya ya kwanza atakayoiachia wastara amesema Filamu hii mpya wastara amesema kuwa itahusu maisha ya kawaida ya mwanadamu na jinsi ambavyo matatizo yanayomkabili binadamu yanavyoweza na kumuathiri kisaikolojia na kumpelekea kufanya mambo ambayo hakuwai kuyafikiria.

Wastara amesema kuwa kwenye Filamu hii ameshirikia na waigizaji Yusuph Mlela na Nisha pamoja na mwigizaji mweingine aliyemtaja kwa jina la Hamida na amewataka wapenzi wake wote wakae mkao wa kula kwa ajili ya Filamu hii inayotarajiwa kutoka mwezi wa tisa.