Search in This Blog

HAPPINESS WATIMANYWA NDO MSHINDI WA REDD'S MISS TANZANIA 2013.

wa kwanza kutoka kushoto ni Happiness Watimanywa, wa tatu ni Clara Bayo aliyeshika nafasi ya tatu na wa tano ni Latifa Mohamed aliyeshika nafasi ya pili.
Mrembo Happiness Watimanywa kutoka Dodoma ameshinda taji la Miss Tanzania 2013/2014. Kwa ushindi huo Happiness amejishindia zawadi ya gari aina ya IST na Tsh. millioni 8. Nafasi ya pili imechukuliwa na Latifa Mohamed na nafasi ya tatu kuchukuliwa na Clara Bayo.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger