Search in This Blog

KUFURU: BABU WA MIAKA 95 AMUOA SHOGA WA MIAKA 65 HUKO NCHINI MAREKANI.



Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya kufikia uamuzi wa kuoana.


John Banvard mwenye miaka 95 alimuoa Gerald Nadeau mwenye miaka 67 huko Diego, California Marekani.

gays-1

gays-2

Tukio hilo limeonekana kutoungwa mkono na baadhi ya majirani ambapo ndoa hiyo ilifungiwa ambapo mtu mmoja alijaribu kutoa taarifa kwa kundi linaloendesha harakati za kupinga ndoa za mashoga kwa ajili ya kuja kujaribu kupinga ndoa hiyo isifungiwe katika eneo lao lakini ilishindikana.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger