Search in This Blog

MSANII WA NIGERIA AONYESHA NYETI ZAKE MAKUSUDI BAADA YA KUTOVA KUFULI (CHUPI)



Msanii  huyu   toka  Nigeria amejikuta  akiambulia  aibu  baada  ya  nyeti  zake  kuanikwa  hadharani  wakati  akitumbuiza  jukwaani...

Tiwa  alikuwa  akitumbuiza  jukwaani huku  akiwa  na  kisiketi  kifupi ambacho  kilianika  kila  kitu  kwa  kuwa  ndani  hakuvaa  KUFULI...

Kilichomstua  ni  baada  ya kuona  watu  wako  bize  na  simu  zao  wakipiga  picha  hasa  eneo  la  chini  alipokuwa  amesimama  juu ya  jukwaa...

Hali  hiyo  ilimfanya  akatishe  show  kwa  muda ili  kupata  muda  wa  kujiweka  vizuri.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger