Search in This Blog

NAIBU WAZIRI ATEMBELEA BOMBA KUBWA LA MAJI LILILOPASUKA USIKU KUAMKIA LEO HUKO BUMA, BAGAMOYO

  Harakati za ukarabati wa bomba lililopasuka ukiendelea kwa kasi usiku wa kuamkia leo eneo la Buma Wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani
  Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini kazi ya kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Archad Mutalemwa usiku wa kuamkia leo
 Kazi ikendelea kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kabla jua halijachomoza
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger