Search in This Blog

PICHA ZA JINSI KIBAKA ALIVYOPATA KIPONDO HEAVY BAADA YA KUJARIBU KUDOKOA MAENEO YA MSIKITINI DODOMA INN



Kijana huyu ambaye hatukufanikiwa kupata jina lake, leo majira ya saa saba kasoro katika maeneo ya Dodoma Inn karibia na msikiti wa swali kabla hujasaliwa, kibaka huyu alidabwa na wananchi wenye hasira kali na kupatiwa kipigo kitakatifu baada ya kujaribu kuiba kwenye nyumba iliyoko karibia na msikitini huo na kutokufanikiwa, kibaka huyu alifanikiwa kuingia ndani ya nyumba hiyo na kushtukiwa kabla hajaanza kuiba na papo hapo kuanza kuchezea kuchapo:











 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger