Search in This Blog

WANAWAKE ELFU 8 WAANDAMANA ILI KUIOMBA SERIKALI IWATAFUTIE WANAUME WA KUWAOA

Kweli duniani wanawake ni wengi kushinda wanaume.Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single jana wameandamana kutokana na upungufu wa wanaume wa kuwaoa.
Lengo la maandamano yao ni kuishinikiza serikali kuwasaidia waolewe, kivipi? (Ndio swali hata mimi nimejiuliza!)
Wanawake waliojikusanya na kuandamana ni mkusanyiko wa 5380 waliopewa talaka, 2200 ni wajane 1200 yatima, na 80 wengine. Wanawake hao wamedai kuwa hawana uwezo hata wa kununua chakula cha siku kwa sababu hawana wanaume wa kuwasaidia ndio maana wanahitaji wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia mahitaji yao.
SWALI. KWA HALI HII JE MWANAUME KUOA ZAIDI YA MKE MMOJA SI INGESAIDIA KUMALIZA TATIZO HILI?
SOURCE: NAIJA GISTS
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger