Search in This Blog

ANGALIA ORODHA YA WATU WENYE NUVU SANA WAKATI RAIS BARACK OBAMA AKITUPWA NA RAIS WA RUSSIA VLADIMIR PUTIN, AMBURUZA NA KUMSHIKISHA NAFASI YA PILI.


RAIS BARACK OBAMA.forbes 


MTANDAO maarufu kwa kutoa list mbalimbali ikiwemo ya watu matajiri duniani, wakati huu wametoa list ya watu wenye nguvu sana duniani. Mwaka jana namba moja alikuwa rais wa taifa kubwa dunia Barrack Obama. 
Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti kwa kumuona Bwana Obama akishuka kutoka kwenye hiyo nafasi yake.
Watu wengine maarufu waliopo kwenye Top Five ni  Xi Jinping Mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha China, Pope Francis, Angela Merkel kutoka Ujerumani na Vladimir Putin kutoka Russia ambaye ndiyo namba moja akifuatiwa na Barack Obama namba mbili. Untitled
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger