ANGALIA MAGOLI YOTE YA MECHI ZA JANA ZA UEFA, MATOKEO NA MSIMAMO WA KILA KUNDI
Najua
kabisa kuna uwezekano mtu wangu wa nguvu sehemu flani amemis kutazama
mechi hizi kali za October 22 2013 kutokana na sababu mbalimbali kama
umeme kukatika, kutingwa na mishemishe na ishu nyingine kama hizo.
Sasa basi kwa kulitambua hilo, nakualika kuchek video na kusoma matokeo ya kila mechi ilivyokua.