Search in This Blog

MBUNGE WA CCM MWENYE MIAKA 60 AFUNGA NDOA NA SERENGETI BOI.

Image
Mbunge wa viti maalum wa chama cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60).
Mbunge wa viti maalum wa Chama Cha Mapindizu (CCM), Rosweeter kasikila (60), amefunga ndoa na kijana mdogo amabye anaweza kumzaa aliyefahimika kwa jina la Michael Christian (26).
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Tanzania Assembles of God(TAG) , linaloongozwa na mchungaji Getruded Rwakatare ambaye ni mbunge wa viti maalum wa CCM, ndoa hiyo imekuwa gumzo baada ya kuwaacha hoi baadhi ya wabunge, mawaziri na majirani wanaoishi na mbunge huyo.
Majarani wamesema kwamba ndoa hiyo ilifungwa Septemba Mosi mwaka 2011 na sasa imebaki kuwa siri kubwa licha ya wanandoa hao kugombana.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger