Search in This Blog

NEY WA MITEGO AWA JAJI BONGO STAR SEARCH (BSS)

Pamoja na Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi  wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama show hiyo....
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger