Chuo cha st.John's pale Dodoma kuna
tatizo kubwa la walimu kuwakamata wananfunzi na kuwalazimisha ngono
.Nimeshuhudia mwanafunzi last week amekamatwa na mwalimu kamwambia
ajisalimishe .Kamtumia sms na calls kum harrass huyu binti na mwisho
ametoa matokeo akiwa ameamua mwanagunzi huyu asimalize chuo na inabidi
arudie mwaka mzima .Ushahidi uko wazi umekuwa documented hatua
imechukuliwa baada mtego kwa kushirikiana na jeshi la polisi , kwa
mumwachia mwanafunzi akubali matakwa ya mwalimu , alimpigia simu mbele
uongozi wa polisi na kumwambia yuko tayari kwa ngono na bila ajizi
mwalimu aliitikia kwa bashasha na aliwahi kituoni akamchukia mwanafunzi
na kabla hajaondosha gari alikamatwa baada ya mahojiano ya siku 2
mwalimu kaamua kubadilisha matokeo ya mwanafunzi baada ya supplementary
na sasa mwanafunzi ata graduate mwezi ujao .
Naomba msaada toka kwenu juu ya
ufumbuzi wa hilli jambo huko vyuoni hali ni mbaya na rushwa ya ngono
imeshika kasi .What is the solution to this problem ?
From Mdau