Search in This Blog

WAHAMIAJI HARAMU WA KISOMALI WAKAMATWA MKOANI MOROGORO

Gari lilokuwa limebeba wahamiaji haramu hao likiwa katika kituo cha polisi mkaoni morogoro
 Wahamiaji haramu kutoka somalia wamekamatwa Mkoani Morogoro leo .Wahamiaji hao waliokuwa wakisafirishwa katika gari la mizigo lilokuwa limebeba shehena ya chokaaa..

 Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa katika gari hilo akiwa katika hali mbaya
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger