Search in This Blog

WAPIGANA MAKONDE, KISA KUMFUMA NA MUMEWE

Wizi haukubaliki popote duniani haijalishi nini kitaibiwa .Hiki ni kama kituko cha mwaka baada ya hawa kushikana mashati kwa wizi wa mtu  walipigana masaa manane huku wakiacha wazi baadhi ya sehemu za miili yao. Hii ilitokea baada ya mdada mmoja kumfumia mgoni wake akiwa na mume wake na hivyo kushindwa kujizuia na hatimae ngumi zikaanza.
KUWA MAKINI NA MKE AU MUME WA MTU, TAFUTA WAKWAKO
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger