Search in This Blog

APIGWA NA RADI NA KUFARIKI HUKO UNGUJA


MKAZI wa Mtemwe, Unguja, Mashibu  Suha (38), ambaye ni mvuvi amefariki baada ya kupigwa na radi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa 6:00 mchana  maeneo ya Magogoni ufukweni mwa bahari ya Hindi.
Alisema  mtoa taarifa Ussi Mcha (38) mkazi wa Tungi ambaye pia ni mvuvi, alieleza kuwa akiwa maeneo hayo akiendesha ngarawa yenye jina la “Kila Mtu Ana Akili Yake”, alishuhudia tukio hilo.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger