Mwigizaji Yobnesh Yussuph maarufu kama
batuli ameamua kuwatolea uvivu waigizaji wanaoandika matusi kwenye
mitandao na kuwaambia kuwa badala ya wao kupoteza muda huo kutukana
matusi makali kwenye mtandao wangetumia muda huo kufanya Ibada ili
wakifa waende peponi kwa Amani ambako wangeweza kupajaza mpaka wengine
wakose viti.
“…Ule muda watu wanaoutumia kuandika naneno makali (MATUSI) kwenye instagram (Mtandao wa kijamii) wangekuwa wanautumia kwa ibada peponi kungejaa..” Alisema batuli.
Huku ikiwa bado haijajulikana anamlenga nani moja kwa moja na ujumbe huo baadhi ya wachunguzi wa mambo wamehusisha kauli hiyo na kitendo kilichotokea juzi cha mwanadada wa bongomovies kuporomosha matusi makali sana kwenye mtandao huo maarufu wa kijamii nchini.